This is an automatically generated PDF version of the online resource tanzania.mom-gmr.org/en/ retrieved on 2024/04/24 at 07:24
Global Media Registry (GMR) & Media Council of Tanzania - all rights reserved, published under Creative Commons Attribution-NoDerivatives 4.0 International License.
Media Council of Tanzania LOGO
Global Media Registry

Aga Khan

Aga Khan

Prince Shah Karim Al Hussain Aga Khan alizaliwa tarehe 13 Desemba 1939. Ni Iman wa  Nazir Ismailia wa 49 ni madhehebu ya Ismalia ndani ya Uislamu wa Shia. Amekuwa na cheo cha Iman chini ya cheo cha Aga Khan IV tangu 1957 alipomrithi babu yake akiwa na umri wa miaka, Naziri inaamini kuwa Aga Khan ni mrithi wa moja kwa moja wa ukoo wa Nabii Muhamad.

Tangu alipopewa wadhifa huu mwak 1957 Aga Khan amejishughulisha na mabadiliko makubwa ya kisiasa na kiuchumi ambayo yamewaathiri wafuasi wake wa Naziri Ismailia, ikiwemo uhuru wa kikoloni, kufukuzwa kwa saasia kutoka Uganda, uhuru wan chi za Asia ya kati kama vile Tajikistan kutoka ilyokuwa Soviet Union na mgogoro unaendelea nchini Afghanistan na Pakistan. 

Hivi sasa anajishughulisha katika nchi zinazoendelea hasa zile wafuasi wengi wa Ismailia kupitia Aga Khan Development Network, ambayo yeye ni  mwasisi na Mwenyekiti. Ni miongoni mwa mitandao mikubwa ya binafsi ya maendeleo duniani. Mitandao huu unaendesha nation Media iliyopo Kenya na kuendesha vyombo Afrika Mashariki – kwa mfano Mwananchi ambalo ni maarufu sana nchini Tanzania. Mtandao huo pia unafanyakazi ya kuboresha mazingira, afya, elimu, usanifu majengo, utamaduni na ufadhili wa fedha kiasi, maendeleo ya vijijini kupunguza maafa , na kuhimiza kampuni za sekta binafsi. 

Licha ya jukumu lake kama kiongozi wa kiroho,  na jukumu lake la uhisani ya kawaida kwenye uraia wa uingereza na miongoni mwa ukoo wa kifalme tajiri sana. Idadi ya utajiri wake unafikia kati ya US $ 3 billions AgaKhan amehusishwa na miradi mbalimbali ya biashara ikiwemo viti vya farasi. Shughuli ya million ya dola yam bio za farasi na ufugaji wao, inasemekana kuwa miongoni kwa vyanzo vikuu vya kipato cha Aga Khan zaidi ya michango ya wafuasi wake. Haijulikani iwapo Iman Aga Khan ananufaika moja kwa moja na michango  hiyo au ni uhisani wake tu.

Wakati wafuasi wake wanaangalia elimu ya Harvad aliyoipata Iman kwenye dini, uhisani na amani dunianu, waandishi habari wachunguzi. Mara nnyingi wanaandika maisha binafsi ya Aga Khan ya ndoa zake, talaka na mambo ya nje ya  ndoa.

Kampuni ya vyombo vya Habari
Aina za vyombo vya habari
Halisia

Biashara

Following organisations operate globally:

AKA

Aga Khan Academies

AKAH

Aga Khan Agency for Habitat

AKAM

Aga Khan Agency for Microfinance

AKES

Aga Khan Education Services

AKF

Aga Khan Foundation

AKFED

Aga Khan Fund for Economic Development

AKHS

Aga Khan Health Services

AKTC

Aga Khan Trust for Culture

AKU

Aga Khan University

UCA

University of Central Asia

Sports

horse racing and breeding operations

Hospitality

luxury hotels

Familia & Marafiki

Maslahi jumuishi ya wanafamilia + Marafiki

JustinTrudeau

Prime Minister to Canada. According to his own statements, "The Aga Khan has been a long-time family friend,". The Aga Khan’s relationship with the Trudeaus goes back to the 1970s when Ugandan dictator Idi Amin expelled Ismailis from his country. The Aga Khan called on then-Prime Minister Pierre Trudeau to give his people a safe haven, and Canada took in 7,000 Ismailis. Since 2004, the Canadian government has sponsored 16 global development initiatives in partnership with the foundation, worth a total of more than $300 million.

  • Project by
    Media Council of Tanzania
  •  
    Global Media Registry
  • Funded by
    BMZ