This is an automatically generated PDF version of the online resource tanzania.mom-gmr.org/en/ retrieved on 2024/04/18 at 16:18
Global Media Registry (GMR) & Media Council of Tanzania - all rights reserved, published under Creative Commons Attribution-NoDerivatives 4.0 International License.
Media Council of Tanzania LOGO
Global Media Registry

Ferdinand K. Ruhinda

Balozi Ferdnand Kamuntu Ruhinda kwa ubia na Rostom Aziz, anapewa heshima kwa kuanzisha mwananchi Communication Limited ya sasa. Alianza na media Communication Limited Mei, 1999 na April 2001, alianzisha kampuni mpya, ya Adversing Agency public Relations mwaka huohuo (2001), jukumu la uchapishaji lilihamishwa kutokea Media Communication Limited kwenda kwenye Kmpuni mpya iliyoanzishwa, mwananchi Communications Limited ambayo hivi sasa huchapisha gazeti la Kiswahili la kila siku la mwananchi na toleo la Jumapili la mwananchi Jumapili na Mwanaspoti, gazeti la michezo la Kiswahili.

The Nation media Group of Kenya ilinunua mwananchi Communications Limited, Desemba 2002, na kuifanya kampuni tanzu. Hata hivyo, kwa mujibu wa kifungu cha 4 cha maombi ya ada ya leseni kwa idara ya Habari Tanzania (MAELEZO) hivi sasa Nation media Group ina 49% ya hisa, na hisa 51% zilizobaki zinamilikiwa na Mtanzania Jehangir Kermali Bhaloo.

Frrdnand Ruhinda ni mwandishi wa habari, mwanadiplomasia/balozi na mfanyabiashara mtanzania alisoma waandishi wa habari katika chuo kikuu cha Nacrobi na kuongeza kozi fupi za American Associated Press na nchini China. Alifanyakazi Radio Tanzania Dar es salaam kabla ya kujiunga na UHURU baadaye Daily News na kuwa Mhariri Mtendaji magazeti ya chama na Serikali, mtawalia, mwaka 1970.

Mapema miaka ya 1980, alijiunga na utumishi wa kidplomansia kama Mkurugenzi wa Habari na Utafiti kwenye Wizara ya mambo ya nje Baadaye alikuwa Minister Counselor katika ubalozi wa Tanzania, Sweden kabla ya kuwa Balozi wa Tanzania, Kanada na baadaye Balozi wa Tanzania nchini China, kabla ya kustaafu kutoka utumishi wa umma.

Baada ya kustaafu utumishi wa umma, alianzisha kampuni binafs, media Communication Limited baada ya kufanikiwa kuanzisha gazeti la The Busineess Times na gazeti la kila siku la Kiswahili baadaye kwa ubia na Rostom Aziz, walianzisha mwananchi Communication Limited. Baadaye waliungana na Nation Media Group ya Kenya kuendesha kampuni mwananchi Communication Limited, huku Nation Media Group ikiwa na hisa nyingi. Walianzisha na kuzindua mwananchi na mwanasport kabla ya kuanzisha gazeti la kiingereza la The Citizen.

Hata hivyo, Ruhinda na Rostom hawakukubaliana na kampuni kutangaza kampuni ya uchaguzi wa Rais wa mgombea wa CCM Jakaya Mrisho Kikwete mwaka 1995. Rostom Aziz alikwenda kununua hisa nyingi katika Habari Corporation Limited wakati Ferdnand Ruhind alistaafu kutolea kwenye sekta binafsi.

Kampuni ya vyombo vya Habari
Aina za vyombo vya habari
Halisia

Biashara

Official Positions

1980s: Director of Information and Research in the Ministry for Foreign Affairs.

Offficial Positions

Ambassador ito China.

Familia & Marafiki

Maslahi jumuishi ya wanafamilia + Marafiki

hakuna taarifa zinazohusiana

  • Project by
    Media Council of Tanzania
  •  
    Global Media Registry
  • Funded by
    BMZ