This is an automatically generated PDF version of the online resource tanzania.mom-rsf.org/en/ retrieved on 2022/05/18 at 01:18
Reporters Without Borders (RSF) & Media Council of Tanzania - all rights reserved, published under Creative Commons Attribution-NoDerivatives 4.0 International License.
Media Council of Tanzania LOGO
Reporters without borders

Free Media Limited

Free Media Limited

Free Media Limited ni kampuni ya uchapishaji inayomiliki gazeti la Kiswahili la Kila siku la Tanzania Daima.

Kwa mujibu wa utafiti wa matumizi ya magazeti wa GeoPoll, uliyodhaminiwa na MCT (Aug/Sep 2018), Tanzania Daima ni miongoni mwa magazeti 10 ya juu yenye maudhui ya siasa na jamii (XX.XXX% ya wasomaji).

Kwenye maandishi, katika Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni BRELA, Dr. Lillian Mtei ametajwa kama mwasisi, mmiliki wa hisa nyingi (75%) na mkurugenzi. Ameolewa na Freeman Mbowe ambaye ni mwanasiasa za Tanzania na Mwenyekiti wa sasa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Amechaguliwa kuendelea kuwa mbunge katika uchaguzi mkuu wa 2015. Hivi sasa anaendelea na siasa kwenye chama hicho hicho cha siasa. Nafasi ya Mbowe bado haifahamiki kwa sababu wasifu wa kampuni katika Wakala ya Usajili na Biashara ns Leseni haukuweza kupatikana na kampuni haikujibu mahojiano kwa njia ya madodoso.

Taarifa muhimu

Aina ya Biashara

Binafsi

Mfumo kisheria

Kampuni ya dhima yenye kikomo

Nyanja za Kibiashara

Free Media Limited imesajiliwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kutoa huduma za magazeti na huduma mtandaoni. Free Media Limited haikusajiliwa TCRA kama mtoa huduma mtoa huduma ya maudhui mtandaoni

Umiliki

Dr. Lilian Mtei

ni daktari wa tiba. Ni mke wa Freeman Mbowe, ambaye ni kiongozi mashuhuri wa chama cha siasa cha upinzani na Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anatoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

75%
Vyombo vya habari
Other Media Outlets

Magazeti mengine

Tanzania Daima

Digitali nyingine

freemedia.co.tz

Halisia

Chombo cha habari cha kibiashara

Mchapishaji Magazeti

Free Media Limited

Biashara

Ni biashara ya vyombo vya habari tu

Hakuna

Maelezo yote

Mwaka wa kuanzishwa

registered at BRELA May 2004.

Mwanzilishi

Dr. Lilian Mtei - ni daktari wa tiba. Ni mke wa kiongozi maarufu wa upinzani Freeman Mbowe
Dudley Alphayo - ni anahisa chache na hasijulikani sana.

Waajiriwa

Taarifa zisizopatikana

Mawasiliano

Free Media Limited

P. O. Box 15261, Dar Es Salaam,

www.freemedia.co.tz

Namba ya kutambulika

BRELA Incorporation N°49132

Taarifa za kifedha

Taarifa ya Kifedha

Taarifa zisizopatikana

Faida za uendeshaji

Taarifa zisizopatikana

Utangazaji(jumla ya mapato kwa asilimia)

Taarifa zisizopatikana

Utawala

Bodi ya utendaji + Bodi Maslahi ya utendaji

Dr. Lilian Mtei

Director and majroity shareholder.

Bodi isiyo ya utendaji + Bodi maslahi isiyo ya utendaji

Taarifa zisizopatikana

Bodi ya usimamizi + Bodi Maslahi ya usimamizi

Taarifa zisizopatikana

Watu muhimu wenye ushawishi + watu maslahi wengine muhimu

Taarifa zisizopatikana

  • Project by
    Media Council of Tanzania
  •  
    Reporters without borders
  • Funded by
    BMZ