This is an automatically generated PDF version of the online resource tanzania.mom-gmr.org/en/ retrieved on 2024/03/29 at 04:10
Global Media Registry (GMR) & Media Council of Tanzania - all rights reserved, published under Creative Commons Attribution-NoDerivatives 4.0 International License.
Media Council of Tanzania LOGO
Global Media Registry

Capital Radio

Capital FM ni miongoni mwa vituo vitatu vya redio za FM vinavyoendeshwa na kusimamiwa na Reginald Mengi and Family Trust (99%) na Regnald Abraham Mengi (1%). Kituo hiki kilianza kutangaza pamoja na Capital TV (Kituo cha TV) mwaka 2009.

Capital FM ni kituo cha redio cha saa 24 (free to air), pia ni kituo cha redio cha biashra chenye makao makuu yake Dar es salaam, Tanzania.Vipindi vyake vinahusu masuala mbalimbali, kuanzia habari, michezo, matukio (ya nchini na kimataifa), maisha ya watu, burudani na vinginevyo.

Kwa mujibu wa ripoti ya Tanzania Media Measurement ya GeoPoll, kwa takwimu za robo mwaka ya pili, 2018, Capital FM ni ya 8 kwa wasikilizaji, yenye XX.XXX% miongoni mwa vituo vya redio 20 nchini Tanzania.

Taarifa kutoka IPP Media Limited, Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), TCRA pamoja na vyanzo vingine kama ilivyooneshwa hapa chini kuwa Reginald Mengi and Family Trust na Reginald Abraham Mengi ni wamiliki wa Capital FM redio kwa hisa za 99% na 1% mtawalia. Zaidi ya hayo, kwa mujibu wa wasifu wa kampuni uliyoombwa kwa wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) inaonesha kuwa Dkt. Reginald Mengi pia ni miongoni mwa wanahisa wa IPP Media Limited.

Mengi alizaliwa Tanzania mwaka 1944. Yeye ni mfadhili wa Kitanzania, mwanaviwanda, mmiliki wa vyombo vya habari na mwasisi Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Group. Mengi pia ni Makamu wa Rais wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu FORBES, amekuwa miongoni mwa matajiri wa Afrika mwenye zaidi ya $400 milioni kwa takwimu za mwaka 2015.

Taarifa muhimu

Isa za hadhira

Aina ya umiliki

binafsi

Maeneo yanayofikiwa

Mkoani

Aina ya maudhui

Maudhui huru

Taarifa zinazopatikana kiurahisi

Upatikanaji wa taarifa za umiliki kutoka kwa vyanzo vingine, kwa mfano vile vinavyotambulikana kisheria

2 ♥

Kampuni ya vyombo vya Habari

IPP Media Limited

Umiliki

Muundo wa umiliki

Capital Radion inaendeshwa na IPP Media Group ambayo pia inamilikiwa na Dr. Mengi.

Haki ya kuchagua

Taarifa zisizopatikana

Kundi / Mmiliki Binafsi

Reginald Mengi & Family Trust

Mfuko wa dhamana ni aina maalumu ya chombo cha kisheria chenye mali kwa manufaa ya watu wengine, kikundi au shirika. Kuna aina nyingi ya Mifuko ya Dhamana, hakuna taarifa kuhusu nani ni mdamini, bodi ya wadhamini au mnufaika.

99%

Mmiliki Binafsi

Kampuni ya vyombo vya Habari
Halisia

Maelezo yote

Mwaka wa kuanzishwa

2009

Mwanzilishi

Dr. Reginald Mengi - ni mwanaviwanda wa Tanzania, mmiliki wa vyombo vya habari na muasisi, pia ni Mwenyekiti mtendaji wa IPP Group. Pia ni Makamu wa Rais wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Tanzania. Katika taarifa za FORBES, Mengi ni miongoni mwa mt

Mtendaji Mkuu

Taarifa zisizopatikana

Mhariri Mkuu

Taarifa zisizopatikana

Mawasiliano

Capital Radio

P. O. Box 4374, DAR ES SALAAM

info@itv.co.tz

Tel: +255767777147

Fax: +255 22 2775915

E-Mail: itv@ipp.co.tz

www.ippmedia.com

Taarifa za kifedha

Taarifa ya Kifedha

Taarifa zisizopatikana

Faida za uendeshaji

Taarifa zisizopatikana

Utangazaji(jumla ya mapato kwa asilimia)

Taarifa zisizopatikana

Isa katika soko

Taarifa zisizopatikana

Maelezo ya ziada

  • Project by
    Media Council of Tanzania
  •  
    Global Media Registry
  • Funded by
    BMZ