This is an automatically generated PDF version of the online resource tanzania.mom-rsf.org/en/ retrieved on 2020/09/22 at 16:27
Reporters Without Borders (RSF) & Media Council of Tanzania - all rights reserved, published under Creative Commons Attribution-NoDerivatives 4.0 International License.
Media Council of Tanzania LOGO
Reporters without borders

East Africa Radio

East Africa Radio (EA FM) ni radio ya burudani kwa saa 24 (Free to air – FM Radio Station). Inatangaza kutoka Dar es salaam, matangazo yake yanapokewa kupitia satelaiti hadi Nairobi na Kampala, inakotangaza kutoka nchini huko. Vipindi vya EA FM vinashughulikia masuala mbalimbali kuanzia habari, matukio, ( ya nchini na kimataifa), mitindo ya maisha, burudani na mengineyo.

Kwa mujibu wa ripoti ya Tanzania Media Measurement iliyofanywa na GeoPoll, kwa kutumia takwimu za wasikilizaji za robo mwaka ya 2, 2018, EA FM ina wasikilizaji XX.XXX%. Ina maana kwamba ni ya sita miongoni mwa vituo vyote vya redio.

Katika Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) HAKUNA TAARIFA ZOZOTE KUHUSU EA FM. Anuwani yake ya biashara inaelekeza East Africa Television Limited na EA FM ilianza shughuli zake pamoja na EATV - kwa hiyo uhusiano wao ni sahihi. Ni kampuni shiriki ya IPP Limited.

IPP Group Limited ni kampuni ya utengenezaji, utiaji vinywaji kwenye chupa na kundi la vyombo vya habari inayojumuisha vituo vya Televisheni, redio na magazeti. Wasifu wa kampuni uliyoombwa kwa Wakala wa Usajili wa Biashara na Utoaji wa Leseni (BRELA) unaonyesha kuwa Dkt Reginald Abraham Mengi na Agaptus Leon Nguma ni wanahisa wa IPP Group Limited.

Mengi alizaliwa Tanzania mwaka 1944, yeye ni mfadhili wa Kitanzania, mwana viwanda, mmiliki wa vyombo vya habari na mwasisi na mwenyekiti Mtendaji wa IPP Group. Mengi pia ni Makamu wa Rais wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA) Tanzania. Katika taarifa ya FORBES, amekuwa ni miongoni mwa matajiri wa Afrika mwenye zaidi ya $400 Millioni kwa takwimu za 2015.

Taarifa muhimu

Isa za hadhira

XX.XX%

Aina ya umiliki

binafsi

Maeneo yanayofikiwa

Taifa

Aina ya maudhui

Maudhui huru

Taarifa zinazopatikana kiurahisi

Upatikanaji wa taarifa za umiliki kutoka kwa vyanzo vingine, kwa mfano vile vinavyotambulikana kisheria

2 ♥

Kampuni ya vyombo vya Habari

IPP Media Limited

Umiliki

Muundo wa umiliki

East Africa Radio inaendeshwa na IPP Media Ltd., inayomilikiwa na Dr. Reginald Mengi. Wamiliki wa hisa na hisa zao havikupatikana TCRA.

Haki ya kuchagua

Taarifa zisizopatikana

Mmiliki Binafsi

Kundi / Mmiliki Binafsi

Agapitus Leons Nguma

likuwa katibu wa kampuni na mwanahisa. Amefariki dunia 1 Mei 2018. Alikuwa pia Mkurugenzi wa the Guardian Ltd.na Bonite Bottlers Ltd. Kitaaluma ni Mwanasheria.

?
Kampuni ya vyombo vya Habari
Halisia

Maelezo yote

Mwanzilishi

Dr. Reginald Mengi - ni mwanaviwanda wa Tanzania, mmiliki wa vyombo vya habari na muasisi, pia ni Mwenyekiti mtendaji wa IPP Group. Pia ni Makamu wa Rais wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Tanzania. Katika taarifa za FORBES, Mengi ni miongoni mwa mt

Mtendaji Mkuu

Regina Mengi - Mkurugenzi Mtendaji. Ni binti wa Dkt. Mengi.

Mhariri Mkuu

Nasser Kingu - Mkuu wa Vipindi

Mawasiliano

East Africa Radio

P.O. Box 4370, Dar-Es-Salaam

tel: +255222775925/6

email: info@eatv.tv

www.eatv.tv

Taarifa za kifedha

Taarifa ya Kifedha

Taarifa zisizopatikana

Faida za uendeshaji

Taarifa zisizopatikana

Utangazaji(jumla ya mapato kwa asilimia)

Taarifa zisizopatikana

Isa katika soko

Taarifa zisizopatikana

  • Project by
    Media Council of Tanzania
  •  
    Reporters without borders
  • Funded by
    BMZ