This is an automatically generated PDF version of the online resource tanzania.mom-gmr.org/en/ retrieved on 2024/03/28 at 08:05
Global Media Registry (GMR) & Media Council of Tanzania - all rights reserved, published under Creative Commons Attribution-NoDerivatives 4.0 International License.
Media Council of Tanzania LOGO
Global Media Registry

Nation Media Group Limited

Nation Media Group Limited

The Nation Media Group (NMG) imekuwa ni sehemu muhimu ya maisha ya umma ya Kenya kwa zaidi ya nusu karne. NMG ilianzishwa na His Highness, Aga Khan, mwaka 1959, kuhimiza maslahi waafrika walio wengi katika harakazi za kuelekea katika uhuru kutoka utawala wa mkoloni, Desemba 1963. Gazeti lake la kwanza, The Nation, lililoanza kuchapishwa 20 Machi 1960 kama sauti ya Waafrika wengi, tangu ianzishwe mpaka sasa, NMG imekuwa kampuni kubwa ya vyombo vya habari binafsi Afrika Mashariki na Kati yenye ofisi zake Kenya, Uganda, Rwanda na Tanzania. Makao yake makuu yapo Nairobi na limeandikishwa kwenye soko la hisa la Nairobi.

Hasa kuanzia miaka ya 1990, NMG imeshuhudia upanuzi mkubwa wa biashara zake na uendelezaji wa mtaji, umeingia kwenye utangazaji pamoja soko la mtandaoni, na kuelekea kwa majirani wake wa Uganda na Tanzania. 

Hivi sasa NMG ina biashara ya uchapishaji, uchapaji, usambazaji wa magazeti na majarida, utangazaji wa redio na TV, filamu, bidhaa za burudani na mtandaoni kidijitali, katika nchi za Kenya, Uganda, Rwanda na Tanzania.

Bidhaa zake nchini Kenya ni pamoja na Daily Nation toleo la Jumapili la Sunday Nation, Business Daily, The East African, Taifa Leo, Nation Television (NTV), QFM, Nation Hela na Nation Fm. Bidhaa zake Uganda ni Daily Mirror, Nation Television Uganda (NTV Uganda), Sparks na KFM, kituo cha redio cha Kampala. Bidhaa zake nchini Tanzania ni Mwananchi na The Citizen.

NMG tangu ilipoanzishwa inashikilia viwango vya juu vya hali ya juu ya magazeti; Wakati wa mkutano mkuu wa International Press Institute mwaka 1981, Aga Khan alihimiza uongozi wenye uwajibikaji, ubadilishanaji wa utaalamu wa meneja, mhariri na uhariri kama njia ya kuongeza ubora wa uandishi wa habari na kukuza ubadilishanaji wa waandishi wa habari kimataifa. 

Mwaka 2018, waandishi wanane bora wa safu maalumu za magazeti walijiuzulu kutoka kampuni kubwa sana ya vyombo vya habari nchini Kenya, kwa kulalamika “kupoteza uhuru wa uhariri” Katika tamko la pamoja, walipendekeza kuwa Serikali ya Kenya imeingilia Nation Media Group (NMG).

Waandishi nchini Tanzania ni Richard Shaba na George Mathew Kilindu kwa mujibu wa wasifu wa kampuni, BRELA kwa Nation Media Group Tanzania Limited.Kampuni kuu imesajiliwa nchini Kenya na kumilikiwa na Aga Khan Development Network Foundation (44.7%). Hisa zilizobaki zinamilikiwa na kampuni za uwekezaji (Alpine Investments Ltd.= 10.1%, Jubilee Holdings Ltd. = 1.20%, Old Mutual Investment Group (Pty) Ltd. 0.70%, Parametric Portfolio Associates LLC=0.62%, Norges Bank Investment Management) na John Kibunga Kimani (1.82%)

Taarifa muhimu

Kampuni Mama

Nation Media Group, based in Kenya, Funded by and owned by Aga Khan Development Fond

Aina ya Biashara

Binafsi

Mfumo kisheria

?

Nyanja za Kibiashara

NMG inaendesha aina 69 ya vyombo vya habari katika nchi nne; ni sehemu ya Aga Khan Development Network ( inajishughulisha na kilimo, na uhakika wa chakula, usanifu majengo, vyama vya kiraia, kitamaduni, elimu, uendelezaji ujasiriamali, ujumuishaji fedha, makazi, afya, miji ya kihistoria, misaada ya binadamu, maendeleo ya viwanda, uendelezaji miundombinu, vyombo vya habari, muziki na ukuzaji utalii)

Umiliki

Mmiliki Binafsi

Aga Khan

Prince Shah Karim Al Hussaini, Aga Khan IV, ni kiongozi kwa kiroho wa waumini milioni 15 wa Ismailia, wanaofuata madhehebu ya kiislamu ya Shia. Yeye pia ni mtoa misaada ya kibinaadamu na anaendesha vikundi vya misaada vya binafsi vikubwa duniani - the Aga Khan Development Network, inayogharimia na kuendesha Nation Media Group.

?
Vyombo vya habari
Other Media Outlets

Magazeti mengine

Mwananchi

Televisheni zingine

NTV Uganda

Radio nyingine

93.3 KFM (Uganda)

Digitali nyingine

www.nation.co.ke

Halisia

Chombo cha habari cha kibiashara

Uchapishaji

Mwananchi Communications Limited (Tanzania)

Utangazaji

NTV Limited

Kidijitali

Swahili Hub (Tovuti mpya ya Kiswahili iliyoshirikishwa na Taifa Leo na Mwananchi inaeleza habari, masomo ya lugha, blogi, picha na maktaba ya video

Digital

KenyaBuzz (provider of event and lifestyle information )

Biashara

Following organisations operate globally:

AKA

Aga Khan Academies

AKAH

Aga Khan Agency for Habitat

AKAM

Aga Khan Agency for Microfinance

AKES

Aga Khan Education Services

AKF

Aga Khan Foundation

AKFED

Aga Khan Fund for Economic Development

AKHS

Aga Khan Health Services

AKTC

Aga Khan Trust for Culture

AKU

Aga Khan University

UCA

University of Central Asia

Maelezo yote

Mwaka wa kuanzishwa

1959

Mwanzilishi

His Highness Aga Khan - he is the 49th hereditary Imam (spiritual leader) of the Shia Ismaili Muslims. In the context of his hereditary responsibilities, His Highness has been deeply engaged with the development of countries around the world for more than 60 years through the work of the Aga Khan Development Network (AKDN). AKDN runs amongst others NMG.

Waajiriwa

Taarifa zisizopatikana

Mawasiliano

Headquarters:

Phone: 020-3288000, 0719-038000, 0732-038000

Email: customercare@ke.nationmedia.com

Physical Address: Nation Centre,

Kimathi Street, P. O Box 49010-00100,

GPO, Nairobi, Kenya

 

In Tanzania: Mwananchi Communications Limited (MCL)

Plot no: 34/35 Mandela Road

P.O.Box 19754 Dar es Salaam

Tel.: +255754780- 647

Fax: 022 22 248 75

Namba ya kutambulika

BRELA incorporation n°: 38687

Taarifa za kifedha

Taarifa ya Kifedha

10,624.9 in million Shs

Faida za uendeshaji

1,954.6 in million Shs

Utangazaji(jumla ya mapato kwa asilimia)

Avertising revenue: 7,087.4 million Shs / Circulation revenue: 3,053.8 million Shs

Utawala

Bodi ya utendaji + Bodi Maslahi ya utendaji

Executive Board Mother Company:

Bodi isiyo ya utendaji + Bodi maslahi isiyo ya utendaji

Directors Tanzanian Branch:

Watu muhimu wenye ushawishi + watu maslahi wengine muhimu

Non-executive Board Mother Company:

Maelezo ya ziada

Uwazi Kamilifu

Kampuni/Chaneli zilizotoa taarifa zao vema na kwa urahisi kuhusu wamiliki wa vyombo vyao vya Habari

4 ♥

Taarifa ya ziada

Ownership information available at the website. Company profile requested at BRELA, still pending.

  • Project by
    Media Council of Tanzania
  •  
    Global Media Registry
  • Funded by
    BMZ