This is an automatically generated PDF version of the online resource tanzania.mom-gmr.org/en/ retrieved on 2024/03/29 at 12:56
Global Media Registry (GMR) & Media Council of Tanzania - all rights reserved, published under Creative Commons Attribution-NoDerivatives 4.0 International License.
Media Council of Tanzania LOGO
Global Media Registry

Risasi

Risasi ni miongoni mwa magazeti sita ya Kiswahili yanayomilikiwa na Global Publishers &General Enterprises Limited. Mengine ni Ijumaa, Uwazi, Amani,Championi na Spotixtra. Kwa mujibu wa African Media Barometer - Tanzania (2008) Global Publishers Limited inamiliki magazeti matano ya habari za kijamii za udaku za kusisimua. Kutokana na hali hiyo, Risasi inalenga zaidi watu watu mashuhuri, hadithi fupi, burudani, michezo, na habari zenye maslahi kwa watu na umbeya na kiasi kidogo zaidi kuhusu siasa.

Kwa mujibu wa utafiti wa GeoPoll kuhusu usomaji wa magazeti uliogharimiwa na MCT (Aug/Sep 2018), gazeti la Risasi ni miongoni mwa magazeti 10 yenye mtazamo wa kijamii na siasa (XX.XXX% ya wasomaji)

Kulingana na TCRA (2018), Global Publishers & General Enterprises Limited yenye magazeti sita likiwemo Risasi, yanamilikiwa na Joachim Lusana Buyobe (100%). Pia anamiliki Geita online TV kwa 100%.

Naye Eric James Shigongo anaonesha kuhusika kwa karibu na kampuni. Anatajwa kuwa ni Ofisa Mtendaji Mkuu, Mkurugenzi na Msimamizi wa Global Group – na wakati mwingine huwa ni mmiliki wa tovuti nyingi. Pia huwa anaitaja kampuni kwenye facebook yake. Nafasi yake haifahamiki kwa sababu wasifu wa kampuni yake haukupatikana kwenye katika Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) na kampuni hiyo haikujibu maswali ya mahojiano.

Taarifa muhimu

Isa za hadhira

Aina ya umiliki

Binafsi

Maeneo yanayofikiwa

taifa (bara)

Aina ya maudhui

maudhui yaliyolipiwa

Taarifa zinazopatikana kiurahisi

Upatikanaji wa taarifa za umiliki kutoka kwa vyanzo vingine, kwa mfano vile vinavyotambulikana kisheria

2 ♥

Kampuni ya vyombo vya Habari

Global Publishers & General Enterprises Limited

Umiliki

Muundo wa umiliki

Risasi linachapishwa na Global Publishers & General Enterprises Limited, inayohusishwa na Eric Shidongo.

Haki ya kuchagua

Taarifa zisizopatikana

Kundi / Mmiliki Binafsi

Joachim Lusana Buyobe

Raia wa Tanzania hajionyeshi. Pia anamiliki Geita online TV kwa 100%.

100%
Kampuni ya vyombo vya Habari
Halisia

Maelezo yote

Mwaka wa kuanzishwa

1998

Mwanzilishi

Abdallah Mrisho Salawi hakuna taarifa zaidi kuhusu mwasisi mwenza. Eric Shigongo - ni mjasiriamali, mwandishi wa vitabu na msemaji. Alizaliwa Mwanza, kwenye fukwe za ziwa Victoria, ana kampuni mbalimbali zikiwemo vyombo vya habari, hoteli, kilimo, uendel

Mtendaji Mkuu

Taarifa zisizopatikana

Mhariri Mkuu

Taarifa zisizopatikana

Watu wengine muhimu

Taarifa zisizopatikana

Mawasiliano

Global Publishers & General Enterprises Limited;

P. O. Box 7534, Dar-Es-Salaam;

Tel.:

E-Mail:

www.globalpublishers.co.tz

Taarifa za kifedha

Taarifa ya Kifedha

Taarifa zisizopatikana

Faida za uendeshaji

Taarifa zisizopatikana

Utangazaji(jumla ya mapato kwa asilimia)

Taarifa zisizopatikana

Isa katika soko

Taarifa zisizopatikana

Maelezo ya ziada

  • Project by
    Media Council of Tanzania
  •  
    Global Media Registry
  • Funded by
    BMZ