This is an automatically generated PDF version of the online resource tanzania.mom-gmr.org/en/ retrieved on 2024/04/23 at 16:11
Global Media Registry (GMR) & Media Council of Tanzania - all rights reserved, published under Creative Commons Attribution-NoDerivatives 4.0 International License.
Media Council of Tanzania LOGO
Global Media Registry

TV E

TVE Chaneli ya kituo cha TVE kinafanyakazi chini ya kampuni mama ya EFM Company Limited. TVE ni kituo cha TV kinachokwenda hewani saa 24 (free to air) na ni ya biashara na burudani yenye makao makuu Dar es Salaam, Tanzania.

Vipindi vya TVE vinatangaza masuala mbalimbali kuanzia habari (nchini na kimataifa), michezo, matukio na burudani.

Kama ilivyoelezwa na ripoti ya Tanzania Media Measurement ya GeoPoll, kwa takwimu za robo mwaka ya pili ya mwaka 2018, TVE ina watazamaji kwa XX.XXX% na kuifanya iwe ya 8 miongoni mwa vituo vya TV 20 nchini.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na taarifa nyingine kama zilivyooneshwa hapa chini ni kuwa, TVE inamilikiwa na ndugu watatu, ambao ni Francis Antony Ciza anamiliki 40% ya hisa, Jean Claude Ciza 40% ya hisa na Justine Antoine Ciza anamiliki 20% ya hisa. Wao ni wanahisa wa E-FM Company Limited ambayo pia inamiliki kituo cha redio cha EFM.

Licha ya kuwa miongoni mwa wanahisa na Mtendaji Mkuu wa E-FM Company Limited, Francis Antony Ciza anamiliki zaidi ya Night Clud moja zilizopo katika mikoa mbalimbali nchini. Aliwahi kuwa DJ katika Redio ya Magic FM.

Taarifa muhimu

Isa za hadhira

Aina ya umiliki

Binafsi

Maeneo yanayofikiwa

Taifa

Aina ya maudhui

Free to Air

Taarifa zinazopatikana kiurahisi

Upatikanaji wa taarifa za umiliki kutoka kwa vyanzo vingine, kwa mfano vile vinavyotambulikana kisheria

2 ♥

Kampuni ya vyombo vya Habari

E-FM Company Limited

Umiliki

Muundo wa umiliki

TV E inaendeshwa na E-FM Company Limited, inayomilikiwa na familia ya Ciza.

Haki ya kuchagua

Taarifa zisizopatikana

Mmiliki Binafsi

Kampuni ya vyombo vya Habari
Halisia

Maelezo yote

Mwaka wa kuanzishwa

Missing Data

Mwanzilishi

Uhusiano baina ya waasisi wafuatao haufahamiki. Justina Antoine Ciza. Francis Antony Ciza. Jean Claude Ciza.

Mtendaji Mkuu

Francis Antony Ciza - anamiliki zaidi ya Night Club Moja kwenye mikoa ya mbalimbali nchini, pia alikuwa DJ wa Magic FM radio

Mhariri Mkuu

Scholastica Mazula - ni mwandishi wa habari, aliwahi kufanyakazi Times Radio.

Mawasiliano

E-FM Company Limited

P.O.Box 71476

DAR ES SALAAM

info@efm.co.tz

Tel:+255222780320

Taarifa za kifedha

Taarifa ya Kifedha

Taarifa zisizopatikana

Faida za uendeshaji

Taarifa zisizopatikana

Utangazaji(jumla ya mapato kwa asilimia)

Taarifa zisizopatikana

Isa katika soko

Taarifa zisizopatikana

Maelezo ya ziada

Taarifa ya ziada

Kiwango cha hadhira kwa mujibu wa ripoti ya viwango vya GeoPoll ya Redio & TV (Aprili – Juni 2018).

  • Project by
    Media Council of Tanzania
  •  
    Global Media Registry
  • Funded by
    BMZ