TV1
TV1 Tanzania ni televisheni ya “free-to-air” inayotoa habari za michezo na vipindi vingine vya burudani vinavyohusiana na vinavyopendwa sana na vijana. Lengo lake ni kuwa idhaa ya michezo nchini Tanzania na inakusudia kufikia lengo hili kwa kuchanganya maudhui ya ndani na ya kimataifa.
Maeneo ya kijiografia inakofika ni mikoa 10 ya ndani ya Tanzania na kwa mujibu wa utafiti wa GeoPoll wa robo mwaka ya pili ya 2018, hadhira yake ni XX.XXX%.
Meneja Mkuu ndiye Mtendaji Mkuu na kwa sasa ni Bwana Joseph Sayi aliyechangia utafiti na kutoa taarifa.
Mhariri Mkuu ni Bwana MrMukhsin Mambo.
Hivi sasa, Econet Media Ltd ina 49% ya hisa za TV1. Raia wa Zimbabwe, Strive Masiyiwa ndiye mwasisi na Mwenyekiti Mtendaji wa Econet. Maeneo yake ya biashara pia yanajumuisha pia nishati jadidifu, huduma za fedha, vyombo vya habari na ukarimu.
Hisa zilizobaki ni za raia wa Tanzania: Wilbert Kapinga (41% ya hisa) na Dkt. Gideon Kaunda (10% ya hisa)
Namba ya utambulisho wa Mlipakodi ya kampuni ni 110-803-982 na mtu wa kuwasiliana ni Kaimu Meneja Mkuu. Kampuni hii ina watumishi 70. Kampuni tanzu ya TV1 ni KWESE TV.
Isa za hadhira
Aina ya umiliki
Binafsi
Maeneo yanayofikiwa
mikoa 10 nchiniTanzania
Aina ya maudhui
Free to Air
Kampuni ya vyombo vya Habari
Econet Media Tanzania Limited
Muundo wa umiliki
TV1 iinaendeshwa na Econet Media Limited inayomilikiwa na Econet Vision Limited.
Haki ya kuchagua
Taarifa zisizopatikana
Kampuni
Mmiliki Binafsi
Kundi / Mmiliki Binafsi
Dr. Gideon Kaunda
Dr Kaunda alikuwa ni Mwanasheria wa Kampuni, na Bingwa wa Mawasiliano na Uchukuzi mwenye uzoefu mkubwa katika huduma za utayarishaji miradi na ushauri wa sheria. Zamani alifanyakazi kama Principal Assistant Counsel and Legal Advisor katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa miaka minane (1969-1977), baada ya hapo aliteuliwa kuwa Mwakilishi wa Serikali ya Tanzania kwenye Council of the Internation Civil Aviation Organisation (ICAO) kwa kipindi cha miaka sita.
Dr Kaunda alijiunga tena na serikali mwaka 1984 na kufanya kazi mbalimbali za ushauri elekezi katika PTA (COMESA), Benki ya Dunia, Umoja wa Ulaya, kabla ya kuazimwa kwenda kufanya kazi kama Special Assistance to the Chief Executive Officer of Alliance Air
Maelezo yote
Mwaka wa kuanzishwa
Missing Data
Mwanzilishi
Taarifa zisizopatikana
Mtendaji Mkuu
Mr. Joseph Sayi -ameshiriki kwenye utafiti na kutoa taarifa
Mhariri Mkuu
Mukhsin Mambo - aliwahi kufanyakazi Star TV.
Mawasiliano
No Tanzanian address available.
Taarifa za kifedha
Taarifa ya Kifedha
Taarifa zisizopatikana
Faida za uendeshaji
Taarifa zisizopatikana
Utangazaji(jumla ya mapato kwa asilimia)
Taarifa zisizopatikana
Isa katika soko
Taarifa zisizopatikana
Maelezo ya ziada
Taarifa ya ziada
Kiwango cha hadhira kwa mujibu wa ripoti ya viwango vya GeoPoll ya Redio & TV (Aprili – Juni 2018).
Muhtasari wa vyombo vya habari
General Manager, Econet Media Limited (October2018). Media Ownership Monitor Questionnaire Econet Media Limited.
Irene Gewelle, unpublished M.A dissertation, St. Augustine University of Tanzania.