This is an automatically generated PDF version of the online resource tanzania.mom-gmr.org/en/ retrieved on 2024/03/19 at 09:12
Global Media Registry (GMR) & Media Council of Tanzania - all rights reserved, published under Creative Commons Attribution-NoDerivatives 4.0 International License.
Media Council of Tanzania LOGO
Global Media Registry

Media Ownership

Unapoangalia kampuni zinazoendesha vyombo vya habari maarufu, inakuwa kweli kwmba idadi ya vituo vya TV, Chaneli za redio au magazeti havimaanishi kuwa ni mandhari ya vyombo vingi vya habari. 

Sekta ya magazeti yapo mengi sana, Mwananchi Communication Limited (MCL) ikiwa na nguvu kubwa ya soko. Sekta ya jutangazaji inaonesha wingi kwa sababu hadhira inabadilika na kwenda kwenye vyombo vya habari vinavyomiliki kwa idadi ndogo ya kampuni. Hasa IPP Media Group ni maarufu sana kwa shughuli zake za vyombo vya habari mtambuko. Kiuchumi, mashirika ya umma yanayoendeshwa na serikali yana kiasi kikubwa cha ushindani kwa kuwa kwa mujibu wa kamati ya ushauri ya MOM wanapata kiasi kikubwa cha matangazo ya serikali.

Chakushangaza ni kwamba, sekta ya mtandao bado ni ya kipekee: inaelekea kwamba seti mbadala ya waendeshaji wanaweza kupata uwezo na kutoa maudhui maarufu kwa hadhira ya Tanzania. Mitandao yao haimilikiwi na watarajiwa wa kawaida lakini ni waendesha blogi huru. Hata hivyo mpaka sasa hatujui kitakachoendelea kwenye uwanja wa mtandaoni kutokana na sheria mpya ya ONLINE Content Regulation.

Je, nani anamiliki kampuni hizo?

Kadiri hadhira inavyobadilika na kukimbilia vyombo vya habari vichache vinavyoendeshwa na kampuni chache za vyombo vya habari kupata habari, wamiliki wachache wa vyombo vya habari wanapata ushawishi kwa maoni ya umma. Wakati wa kuonesha mwanga kuhusu watu hao, mambo mawili yanabainishwa; Wamiliki wake ama wanahusika katika siasa au shughuli za biashara. Na idadi ya wanawake kama wamiliki wa vyombo vya habari ni ndogo kiasi cha kutisha.

 

Mmiliki
  • Project by
    Media Council of Tanzania
  •  
    Global Media Registry
  • Funded by
    BMZ