New Habari (2006) Ltd
New Habari (2006) Limited ni miongoni mwa vyombo vya habari nchini Tanzania. Inamiliki magazeti yakiwemo Mtanzania, The African, Bingwa, Dimba, na Rai. Magazeti hayo yanatumia zaidi lugha ya Kiswahili na Kiingereza kwa baadhi yao.
Kwa mujibu wa Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) (2018) New Habari (2006) LTD inamilikiwa na wanahisa wawili ambao ni Hassan Haidari (hisa 750) na Gulam Abdulrasul (hisa 750), ambao pia ni Wakurugenzi. Kwa mujibu wa BRELA (2018), kampuni inatakiwa kuhuisha kumbukumbu zake kwa kutumia mfumo wa usajili kwa njia ya mtandao (ORS).
New Habari (2006) LTD inachapisha magazeti yaliyokuwa yanachapishwa na Habari Corporation Limited ambayo ilisimamisha shughuli zake kutokana na sababu zisizofahamika. Kwa mujibu wa BRELA (2018), Habari Corporation Limited iliandikishwa 1 Oktoba 1996 ni kikundi cha waandishi wa habari watano mashuhuri ambao ni Jenerali Ulimwengu, Salvatory Rweyemamu, Johnson Mbwambo, Gideon Shoo na Shaban Kanuwa, ambao pia walikuwa wanahisa. Mwanasiasa na mfanyabiashara Rostam Aziz alinunua hisa zao kwenye Habari Corporation Limited mwaka 2006. Hatimaye alibadilisha jina la kampuni kuwa New Habari Corporation (2006) Limited.
Ingawa hana hisa tena kwenye kampuni, anatajwa mara nyingi kuwa ndinye mmiliki.
Aina ya Biashara
Binafsi
Mfumo kisheria
Kampuni ya dhima yenye kikomo
Nyanja za Kibiashara
Chapisha
Gulam Abdulrasul Chakkar
hajioneshi. Kwa mujibu wa tetesi zilizotangazwa na tovuti ja Jamii Forum kuhusiana na Rostam. Pia anasemekana kuwa miongoni mwa mwanahisa kampuni yenye utata ya Tanzania International Container Terminal Services (TICTS).
Hassan Haydar Omar
Hajioneshi. Hakuna taarifa zake
Magazeti mengine
Mtanzania
The African
Rai
Bingwa
Dimba
Digitali nyingine
mtanzania.co.tz
rai.co.tz
dimba.co.tz
bingwa.co.tz
Biashara
hakuna
none
Maelezo yote
Mwaka wa kuanzishwa
1st October, 1996
Mwanzilishi
Habari Corporation Ltd. Was aunched by the
Dimba-Mtanzania-Rai-consortium of which Jenerali Ulimwengu was chair. In that group also were amongst others i. Jenerali Ulimwengu ii. Salvatory Rweyemamu iii. Johnson Mbwambo iv. Gideon Shoo v. Shaban Kanuwa. Later re-registered as New Habari (2006).
Waajiriwa
Taarifa zisizopatikana
Mawasiliano
Plot No. 236, Bibi Titi Mohamed Street, Dares salaam
Namba ya kutambulika
BRELA incorporation n°: 30858
Taarifa za kifedha
Taarifa ya Kifedha
Taarifa zisizopatikana
Faida za uendeshaji
Taarifa zisizopatikana
Utangazaji(jumla ya mapato kwa asilimia)
Taarifa zisizopatikana
Utawala
Bodi ya utendaji + Bodi Maslahi ya utendaji
Managing position. Member of Parliament for CCM. Prior to that position, he has worked in several positions within the party, e.g. in the General Comitee and as Secretary for Economic and Finance. He has worked for Mwananchi Communication..
editor-in-chief. He is a veteran journalist and chairman of the Tanzania Editors Forum. In 2013, he was attacked and tortured by three unidentified assailants with a gun and sharp metal objects. This attack was said to have political motives.
Watu muhimu wenye ushawishi + watu maslahi wengine muhimu
Rostam Aziz - Tanzania’s first billionaire and former MP of the governing party CCM, Rostam Aziz, is known as owner and investor.
Maelezo ya ziada
Taarifa ya ziada
Company registered at BRELA and TCRA. Habari Corporation still also available at BRELA. No return of questionnaires.