This is an automatically generated PDF version of the online resource tanzania.mom-rsf.org/en/ retrieved on 2020/02/26 at 02:46
Reporters Without Borders (RSF) & Media Council of Tanzania - all rights reserved, published under Creative Commons Attribution-NoDerivatives 4.0 International License.
Media Council of Tanzania LOGO
Reporters without borders

Dr. Gideon H Kaunda

Dr. Gideon H Kaunda

Kwa mujibu wa dodoso lililorudishwa kutoka Econet inayoendesha TV1 nchini anzania, Gideon Kaunda ana hisa 10% kwenye kampuni hiyo. Hata hivyo, kumbukumbu kutoka BRELA zinaonesha kuwa ana hisa 75 za Daraja A.

Dkt Gideon H. Kaunda ni Corporate Lawyer and Communications and Transport Specialist mwenye uzoefu mkubwa wa huduma za uendeshaji mradi na ushauri wa sheria. Hivi sasa ni mwenyekiti wa Pangaea Securities (EA) Ltd na kufanyakazi kama “ad hoc Arbitrator katika International Court on Aviation and Space Aviation (IASA).” Ni mkumbe wa Bodi ya Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) ambaye ni mwenyekiti wa kamati ndogo ya Huduma za Wanachama na Kujenga Uwezo.

Zamani, Dkt Kaunda alifanyakazi ya “Principal Assistant Counsel and Legal Advisor” katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa miaka minane (1969-1977) na baadaye kuteuliwa kuwa Mwakilishi wa Serikali katika Court of Internation Civil Aviation Organisation (ICAO)” kwa kipindi cha miaka sita.

Dkt Kaunda alijiunga tena na serikali mwaka 1984 na kufanya kazi mbalimbali za ushauri elekezi (COMESA), Benki Kuu ya Dunia, Umoja wa Ulaya na kwingineko kabla ya kuazimwa kama “Special Assistance to the Chief Executive Officer of Alliance Air

Dkt. Gideon Kaunda ana shahada za LLB kutoka University of East Africa (Dar es Salaam College), LLM na PhD kutoka McGrill University, Montreal, Canada.

Kampuni ya vyombo vya Habari
Aina za vyombo vya habari
Halisia

Biashara

Official Positions

Chairman of Pangaea Securities (EA) Ltd and services

Familia & Marafiki

Maslahi jumuishi ya wanafamilia + Marafiki

hakuna taarifa zinazohusiana

  • Project by
    Media Council of Tanzania
  •  
    Reporters without borders
  • Funded by
    BMZ